Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichofanyika
Mkoani Dodoma tarehe 26 Mei, 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichofanyika
Mkoani Dodoma tarehe 26 Mei, 2025
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa wa Chama hicho tarehe 26 Mei, 2025 Mkoani Dodoma
kusimama kwa dakika moja kumuombea dua aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na
Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya aliyefariki tarehe 7 Mei, 2025
na kuzikwa kijijini kwake Chomvu, Usangi, Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.