Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na
ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa
na Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, ambapo umeeleza mafanikio
ya Benki hiyo likiwemo suala la kuendelea kuimalisha uchumi, jijini
DodomaGavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba akieleza
mafanikio ya Benki hiyo katika kuimarisha uchumi wakati wa mkutano na
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ambapo aliongoza
ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo ambao umeeleza mafanikio
yaliyopatikana likiwemo suala la kuendelea kuimarisha uchumi, jijini
Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiitaka Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuendelea kusimamia misingi
ya kuanzishwa kwa Bodi hiyo wakati wa mkutano na ujumbe wa Bodi hiyo
ukiongozwa na Gavana, Bw. Emmanuel Tutuba (Kulia), ambapo umeeleza
mafanikio ya Benki likiwemo suala la kuendelea kuimarisha uchumi, jijini
Dodoma.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba akieleza
mafanikio ya Benki hiyo katika kuimarisha uchumi wakati wa mkutano na
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ambapo aliongoza
ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo ambao umeeleza mafanikio
yaliyopatikana likiwemo suala la kuendelea kuimarisha uchumi, jijini
Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akiwa
katika picha ya pamoja na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) ukiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba
(wa nne kulia), ambapo walieleza kuhusu mafanikio ya Benki hiyo
likiwemo suala la kuendelea kuimarisha uchumi wa nchi, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa na
Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba (wa saba kulia), pamoja na
watumishi wa Wizara ya Fedha, baada ya mazungumzo kuhusu mafanikio ya
Benki likiwemo suala la kuendelea kuimarisha uchumi wa nchi, jijini
Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Fedha)
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa na Gavana wa
Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, ambapo umeangazia mafanikio ya Benki
hiyo katika kuendelea kuimarisha uchumi.
Akizungumza
katika mkutano huo uliofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha,
Treasury Square, jijini Dodoma, Dkt. Nchemba aliitaka Bodi hiyo ya Benki
Kuu ya Tanzania kuendelea kusimamia misingi iliyoanzisha Bodi hiyo.
Alisema
kuwa Wizara ya Fedha itaendendelea kutoa ushirikiano kwa Bodi hiyo ili
kuendelea kuimarisha uchumi kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
Kwa
upande wake Gavaa wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba,
alisema kuwa Benki Kuu imeendelea kufanya vizuri katika kuimarisha
uchumi na hilo linadhihirika baada ya nchi kupitia vipindi tofauti vya
msukosuko wa uchumi uliozikumba pia nchi nyingi Duniani.
Mwisho.