Bukobawadau

Kamenge Na Mstakabali wa Missenyi !

 

 

Ndugu Kamenge Kijana Mbobezi wa Uchumi na MASUALA ya Kilimo....

Anaanzakwa kutoa Pongezi Kwa Ziara ya Rais Samia Mikoa ya Simiyu na Mwanza. .Anasema; “Tunafahamu namna ambavyo Rais wetu Samia Suluhu Hassan anafungua fursa za Uwekezaji na Uchumi wa Wakulima wa Kanda ya Ziwa. Evance Kemenge anaeleza hali ya Kisiasa Missenyi na Miongoni mwa Sababu na Mambo yanayopelekea Moto Kuwaka Jimboni humo kutoka na hali ya kuonekana kukubalika zaidi kwa wananchi hususani Wazee na Vijana. __

Mdau tafadhali . Kumbuka KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE account yetu kama sehemu ya Sapoti yako

-- #SiasazaBukoba #KisiasaMissenyi #KAMENGE2025 #Kumekucha

Next Post Previous Post
Bukobawadau