KUTANA NA BENNIE MUSHUMBUZI MKALI WA MERCEDES BENZ
Tupo na Mzee Bennie
Muberwa Mushumbusi 'Mhaya' mkazi wa Maeneo ya Kibeta Mjini Bukuba. Mtaalam ,Mpenzi wa Magari ya kifahari aina
ya Mercedes Benz, akiongea na Bukobawadau Media tulipofika Nyumbani
kwake Kibeta kumtembea.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Mzee Bennie anazijua Benz kwa matoleo na Sifa zake ni mtumiaji wa magari haya toka miaka ya 80. Ndo huyu Bennie Mushumbusi wa Mabenz ambaye kitaaluma ni Mwandishi Mwandamizi wa Viwanja vya ndege. . #Benz #bukobawadauMatukio #Mhaya


