Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora pia ahudhuria Tamasha la Utamaduni la Bulabo, Kisesa Mkoani Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Kituo
cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza
tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watemi wa kabila la Wasukuma mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watemi wa kabila la Wasukuma mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watemi wa kabila la Wasukuma mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
![]() |