Bukobawadau

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa Itilima mkoani Simiyu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Itilima waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya mabasi tarehe 17 Juni, 2025.

.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Itilima waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya mabasi tarehe 17 Juni, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Itilima waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya mabasi tarehe 17 Juni, 2025.
..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Next Post Previous Post
Bukobawadau