Bukobawadau

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.#BukobawadauMatukio 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.#BukobaNasamia #Mamasamia #BukobawadauNaMamaSamia  #BukobawadauNaMamaSamia
Next Post Previous Post
Bukobawadau