RAIS SAMIA AMUAPISHA JAJI MKUU, IKULU CHAMWINO DODOMA, TAREHE 15 JUNI, 2025
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George
Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.













