Bukobawadau

TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA

Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambwa na kumeremeta . Gonga hapa Chini kwa Matukio zaidia ya picha
 

Mapema Nje yaUkumbi wanaonekana pichani Ndg Oswald Kyamani na Brugedia General Mutta

La Familia...
 
Muendelezo wa Matukio ya picha Usiku wa Bi Felisia Kyamani katika Ukumbi wa JC Hall Mbezi Beach. 

Bi Felicia pichani hakika amependeza Sana
Tembelea kurasa zetu za Instagram, Facebook na Tiktok @bukobawadau kwa matukio zaidi ya picha
Previous Post
Bukobawadau