BALAA LA BUKOBA MKUTANO WA DKT.NCHIMBI AKIENDELEA KUSAKA KURA ZA CCM
Awali leo Dkt.Nchimbi ameanza ziara yake ya kampeni Mkoani humo akianzia Jimbo la Ngara, Kyerwa, Katoro-Bukoba Vijijini na kuhitimisha kwa mkutano mkubwa jioni hii hapa Bukoba Mjini.Dk Nchimbi anaendele na mikutano yake ya kampeni ya kusaka kula za ushindi wa kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima,ambapo kwa sasa yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo alianzia mkoani Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita na sasa yupo mkoani Kagera.Jiunge Nasi Youtube Matukio ya Papo Hapo ,BukobaWadauLive – Ushuhudie Kagera kwa mtindo wa kisasa! GONGA HAPA >> Jiunge sasa, subscribe 🔔
Dkt.Nchimbi anaendelea kuinadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030, ambayo inalenga kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo katika miaka mitano ijayo huku akitumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi kumchagua mgombea Urais wa CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani wa Chama hicho kwa kura za kishindo ifikapo Oktoba 29,2025#SamiaSuluhu2025#TeamCCM#KaziIendelee#IlaniYaUchaguzi2025
#TanzaniaYaMaendeleo#DKNchimbi#Bukoba #Kashai #KageraYetu#SamiaSuluhu2025#TeamCCM
#KaziIendelee#IlaniYaUchaguzi2025#TanzaniaYaMaendeleo#DKNchimbiWananchi wakifuatilia Mkutano uliofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Kashai
za matukio mbalimbali kutoka kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, uliofanyika katika Uwanja wa Kashai, Bukoba, mkoani Kagera, leo tarehe 07 Septemba 2025.Katika mkutano huo, wananchi wa Bukoba Mjini walipata nafasi ya kusikiliza taarifa na maelezo ya fursa mbalimbali watakazozipata endapo CCM itachaguliwa tena kuendelea kuongoza nch#Kampeni2025 #IlaniYaCCM #CCM #SuluhuNiSuluhu
#BukobawadauMedia #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu
#bukobawadauMatukio #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi
#KandaYaZiwa
Balozi Dkt Nchimbi akimnadi Mgombea Jimbo la Bukoba Mjini Mutasingwa #BukobawadauMedia #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu
#bukobawadauMatukio #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi#KandaYaZiwa
Katika mkutano huo, wananchi wa Bukoba Mjini walipata nafasi ya kusikiliza taarifa na maelezo ya fursa mbalimbali watakazozipata endapo CCM itachaguliwa tena kuendelea kuongoza nchiMgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula mara baada ya kuwahutibia Wananchi wa Bukoba Mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Kashai, leo Jumapili Septemba 7, 2025 mkoani KageraMgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula mara baada ya kuwahutibia Wananchi wa Bukoba Mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Kashai, leo Jumapili Septemba 7, 2025 mkoani Kagera.
.DK.NCHIMBI APOKEA BARUA YA MKAZI WA BUKOBA MJINI MWENYE ULEMAVU WA MIGUU.
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula.
Dk.Nchimbi yuko mkoani Kagera ambako amewasili tangu jana na leo Septemba 7 ameendelea na mikutano ya kampeni ya kuomba kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025.
Akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashai Bukoba Mjini baada ya kuwahutubia wananchi,alimfuata Kalungula ambaye ni mlemavu wa miguu aliyekuwa ameshika bahasha yenye rangi ya kaki na kisha kumkabidhi Dk.Nchimbi.
Hata hivyo bahasha hiyo aliyokabidhiwa Dk.Nchimbi haijafahamika ilikuwa imebeba ujumbe gani .Hata hivyo mkazi huyo alionekana kufurahishwa na upendo ulioneshwa na Dk.Nchimbi aliyeamua kumfuata kumsikiliza na kupokea barua hiyo.
BukobaWadauLive – Experience Kagera in style!
Content Highlights:
1. 🎉 Live music & celebrations
2. 💍 Traditional weddings & family events
3. 🕊 Memorials & tributes
4. 🏞 Scenic towns & tourist attractions
5. 📖 Cultural stories & local heroes
💡 Subscribe @BukobawadauLive🔔 and never miss a live event

.jpeg)
.jpeg)





.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)





