Bukobawadau

Kutoka Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar Mkutano wa Mgombea wa nafasi ya Rais Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan

.
Wasanii wa Kikundi cha Wapendanao cha CCM Mkoa wa Magharibi Zanzibar wakitumbuiza kwenye mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025..

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pamoja na vitongoji vya jirani wakati wa mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.#BukobawadauMatukio
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.
 Jiunge nasi Youtube Subscribe hapa @BukobawadauLive
 Jiunge nasi Youtube Subscribe hapa Stories With Impact

Bukobawadau