Bukobawadau

📍 St. Thereza Memorial Clinic, Buyekera, Shelisheli

Kwa huduma bora na Huduma bora kwa kila mgonjwa!
St. Thereza Clinic inajivunia kutoa huduma ya afya ya kisasa na ubora wa hali ya juu.
Dr. Joas (Jojo) Kyabonabi, daktari bingwa wa Internal & Emergency Medicine, yupo mjini tayari kutoa huduma pamoja na timu yake ya wataalamu, kuhakikisha kila mgonjwa anapata matokeo sahihi.

Huduma na magonjwa yanayohudumiwa:
✅ Moyo & shinikizo la damu
✅ Kisukari & kiharusi
✅ Magonjwa ya figo & ini
✅ Magonjwa ya kupumua (asthma, pneumonia)
✅ Magonjwa ya wanawake & watoto
✅ Ultrasound & maabara
✅ Huduma ya dharura / emergency

Dr. Joas (Jojo) Kyabonabi, daktari bingwa wa Internal & Emergency Medicine
Kujua Afya Yako ni Muhimua. Afya yako ni muhimu zaidi ya chochote kile,Bila afya njema uwezi fanya kazi,uwezi fikiria vizuri na mengine mengi

Next Post Previous Post
Bukobawadau