SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

13 April 2014

NGURUMO HATUNAE TENA DUNIANI!!

Habari za hivi  punde ni Kuwa Mzee wetu gwiji wa muziki wa dansi Muhidin Gurumo amefariki dunia muda mfupi uliopita.
R.I.P Muhidin Ngurumo tutakukumbuka daima,ulikuwa alama kubwa ya muziki wa dansi Tanzania. Innah lillah wa innah illah rajuun!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU