Bukobawadau

Baadhi ya wadau wakifatilia Mchakato wa Miss Kagera .By Mc

Miongoni mwa tukio kubwa na la kihistoria ambalo daima kwangu mie kama blogger wa wadau sitokaa nilisahau ni pale Dr Mc Emmanuel Ernest Mbaule wa Kasibante Fm Radio,wapili kutoka kulia alipo toa fulsa ya kututambulisha mbele ya mgeni lasimi na kutushukuru kwa saport tulio toa kwenye mchakato mzima wa Miss Kagera na sehemu nyinginezo alikadhlika tutowe salaam na kuwajuza wadau ni nini kusudio letu na wategemee nini kutoka bukobawadau blogspot.
Ivyo basi nachukua fulsa hii kuwaomba ladhi wadau wote kwa kutokuonekana Jukwaani kwa sababu kazi kubwa ilikuwa nikuakikisha napata matukio yote ili nikujulishe na kwa mda huo tayari sehemu ya ukumbi wa disco kuna utata ulijitokeza ndio nikawa nakabiliana nao ili punde tu nikupatie wewe msomaji mdau kile unachositahili
.
Anaonekana mdau Ras Bitto mwili mtamu akifatilia kwa ukaribu saana.
Mama Deka wa Nice&lovely Saloon ambao pia niwadhamini wa Miss Kagera.
Mtu mzima Evody na Ndg Robart aka Roba katika hali ya utulivu.
Ndg Karim Amri Hamiry nae ndani
Majaji wetu katika hali ya kutoa ukumu ile hali wakionyesha kujiamini kwa kile walicho kifanya.Kwa kweli inapendeza na ilipendeza na walitenda haki bin sawa.
Mr& Mrs Willy ambao nao ni wadau wakubwa wa Miss Kagera 2011
Mahudhurio ayakuwa mabaya over wembley na ukizingatia ukumbi wa linaz kwa sasa umejengwa kivingne zaidi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau