Bukobawadau

Kishindo cha Ajari sehemu ile ile na mda ule ule!!!

Ni ajari ya kusitajabisha iliotokea asubuhi ya leo kati ya makutano ya uganda road na miembeni mjini bukoba .ni takribani mwezi umepita tangu tushuhudie ajari nyingine kama hii na sehemu hii jirani na kwa Shabrdin au Bakhta Pichani wanaonekana wadau wakijaribu kutoa ushirikiano.
Mwonekano wa jengo la Bakhta mkabala na Hospitali ya Mkoa wa Kagera jirani kabisa na ilipo tokea ajari hii mapema ya leo kama anavyo tujuza Mc.
Next Post Previous Post
Bukobawadau