Bukobawadau

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU VICTORIA RUGAKINGILA(mama Teddy)-Mazishi yamefanyika Nshambya Rubya!!!

Mwenye picha ni Ndg Mberwa Mboto Mtoto mkubwa wa kiume kwa marehemu.
Mazishi yameambatana na Ibada maalumu chini ya parokia ya Rubya.
Umma ulivyo jitokeza katika mazishi ya Marehemu Victoria Rugakingira(Mama Teddy)
Sehemu ya wadau walio hudhulia masishi.
Ndg Optaty Folo kushoto,Kaka Mkuu,na Ndg Innocent Pajero
Katika hali ya simanzi pichani ni Haji Gullam na Abdul Hamis(kilombe)
Kijana aliyepitia mikono mwa Marehemu,pichani ni Ndg Venant katika hali ya simanzi na uzuni mkubwa!!!!
Bi Mainda Kassimu rafiki wa familia akingali katika sononeko.
kwa hakika msiba huu umegusa hisia nyingi za watu,na hii yote ni kutokana na hurkha ya marehemu ,upole,utaratibu sia ya uhungwana na katika uhai wake alifanya Kazi ya Unesi katika hospital mbalimbali na kupelekea kufaamika sana na kuwa karibu na jamii.
Mwenyezi mungu amurehemu
.
Katika kuchukua matukio ni pamoja na ushiriki katika tukio
Haji Maulid Kambuga mwenye nasaba kubwa na familia
Mjukuu wa marehemu Raymelius Peter akimuaga Bibi yake
Anaonekana Bi Olva Rwebugisa.
Ndg Byamungu wa Tibyatulwa Inn Rafiki mkubwa wa familia ya Marehemu
Sisi sote ni Udongo na hakika kwake tutarejea...
Lisa mjukuu wa Marehemu.
Ndg Peter Mgisha
Ikafika sehemu muhimu ya kusimika msalaba kwenye kaburi
Sehemu ya wajukuu wa marehemu kutoka kwa ndg mbalimbali na kipindi chote cha kumhuguza wao walikuwa karibu sana na ndivyo inavyo onekana wameguswa kwa kiasi kikubwa
Hatua hii inakamilisha safari ya mwisho ya marehemu
Ndg wa mume wa marehemu nikiaanisha sehemu ya familia ya marehemu Mboto
Mtoto wa Marehemu Mbeziakiweka shada la maua kama heshima ya mwisho kwa mama yake.
Akifatia Bi Teddy mtoto mkubwa wa Marehemu.
Bi Julitha Rugakingira mdogo wake marehemu Victoria Rugakingira
Anatoa busu kwenye shada kitendo hiki ni ishara ya upendo zaidi na ustarabu wa mbele
Hakika ni Uzuni mkubwa kuondokewa na Ndg.
Wajukuu wa marehemu

Kaka mdogo wa marehemu akitoa heshima ya mwisho.

Ndg Peter Mgisha akiweka shada la maua yeye ni Mkwe wa marehemu

Kwa niaba ya marafiki wa familia wamewakilishwa na Bi Enjoy

Marafiki wa marehemu

Ndg Deus na Mh.Meya Aman wakimfariji mfiwa

Anaonekana Mama Mlima Kulia akimfariji Ndg Peter Mgisha.

Ndg Charres Peter na Ndg Sadick katika mazishi,
Mdau wa Arsenal na Ndg Kabingwa.
Kaka na Bi Janath Mussa
Mzee Kambuga,Ramadhan Kambuka na Mama yangu Mwajabu.
Mdau Rahimu Kabyemela na Optaty Henry
Huu ndiyo mwisho wa safari ya Maisha ya Marehemu Victoria Rugakingila
Bukobawadau tunatoa pole kwa wafiwa wote..Mola awatie imani na ustaimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Amen.
Next Post Previous Post
Bukobawadau