Bukobawadau

TOGETHER EACH ACHIEVE MORE (TEAM)

Mwenyekiti kamati ya maandalizi ya hafla ya Wanabukoba Waishio DSM Bw Ben Mulokozi anapenda kukualika kushiliki 'katika hafla hiyo itakayofanyika Bukoba coffee tree Inn Hotel tarehe 26/12/2011. Unaombwa kuchangia kiasi kisichopungua Tsh 50000/ ili uweze kufanikisha hafla hiyo . Kwa maelekezo zaidi piga 0714451671/0715265021/0754692819.

Kusudio la Kutaniko hili ambalo mkuu wa mkoa amekubali kuwa mgeni rasmi, ni kufahamiana, lakini pia kujadili fursa za maendeleo na kiuchumi zilizopo mjini Bukoba na mkoani Kagera kwa ujumla! wanaopenda kushiriki wanatakiwa kuwasiliana na wahusika kabla ya tarehe ya tukio.
Next Post Previous Post
Bukobawadau