Bukobawadau

USIKU WA MASHAUZI CLASSIC ULIVYOKUWA NDANI YA LINAS CLUB


 Hapo chacha!!  pichani Aisha Mashauzi akipewa Kinyayangiro na Bi Koku Mnyaluganda wa Bilabo Muleba  !!!
 Baadhi ya wapenzi wa Muziki wa Taarab na Mashabiki wa Kundi la Mashauzi Classic wakipata burudani hiyo katika Ukumbi wa linas Night Club usiku wa jana 19-2-2011
Camera yetu  katika kuangaza hii ni sehemu ya mashabiki na wapenzi wa Bukobawadau blog
USIKU wa kuamkia leo kundi  la Mashauzi Classic Modern Taarab ...namna lilivyo washa moto na kuhudhuriwa na mamia ya wapenzi wa muziki wa taarab  mjini hapa
Waimbaji waMashauzi Classic inayoongozwa na mwimbaji nguli wa miondoko hiyo Aisha Mashauzi
 Huyu dada nyimbo imemuingia anaimba kwa hisia zote

Anaitwa Maua Daftari Ramadhan wa Mashauzi
Wadau wakifatilia Onyesho kwa Umakini.
 Isha mashauzi akiangalia live kwenye matandao wa Bukobawadau!! haamini kile akionacho,ni pale alipoikuta shoo yake live ndani ya bukobawadau blog

 wacha weee!!
Bukobawadau blog tunawaahidi tu wapenzi wa muziki wa Taarab wakae mkao wa kula  mwanzoni mwa mwezi ujao Band nzima ya mashauzi itakuwa na Onyesho jingine mjini hapa  kama jana ulipitwa basi subiri!!!!!
Kushoto ni Mama Mussa  na Mama Hakh

Mdau wa Mashauzi Classic anaitwa Bibie Kabibi maarufu kama mwana Buye gangstar
Mwana Buye gangstar aka Kabibi
Kikubwa hapa ni ile mistari ya wimbo unaoendelea ni "KUZALIWA MJINI ISIWE TABU''
Mdau Mama Aisha Khalid au Bi Sauda Kichwabuta (kushoto)akijinafasi
Camera yetu katika  tukio zima la usiku wa  Mashauzi unaweza pia kuona kila kitu kupitia account yetu ya You tube.
Wadau kutoka kushoto  Hemmedy Mkala na Mdau  Majid
Katika hili niulize Mimi kama Blogger  pichani ni Face of Africa kwa ukanda huu.
Siasa kwa kawaida haitaji mtu haya ndio maelekezo niliopewa
Mdau Moha na familia yake.
Mama Eunice Luangisa kushoto na Bi Silvia
Kushoto ni Mdau Mama Khadja na shost  mwenzake

Bi Jovna wa George (kushoto)Bi Lilian Peter Mwise,Bi Daftari Maua Ramadhana, Mdau Matovelo na Mkewe wa mwisho ni Bi Heda
Bi Zulfa Said Self (kagoma ) ni mda mrefu sana bukobawadau hatujaonana na Mdau huyu na laiti kama ningeweza kuisemea nafsi vizuri natamani kuandika ninavyo mjua na mapenzi yake  ya taarab.
Nilivutiwa sana namna wadau walivyo inuka kwa pamoja  mara tu baada ya kinanda kupigwa ni katika Nyimbo  ya ''TUGAWANE USTAARABU USHAMBA NI USUMBUFU''
Fatilia Video hapo juu  utapata kile kinachostahili
Am serious usinitanie natendea haki kiingilio
Mwimbaji Shaban Mbizo aka handsome boy
libeneke la Massauzi bado linaendelea  .....
Next Post Previous Post
Bukobawadau