Bukobawadau

MECHI YA SIMBA NA ES SETIF LIVE UWANJANI LEO




 Kama kawaida tumefika uwanja wa Taifa kukuletea habari kemu kemu kwa njia ya Picha za mnato Live kutoka Jijini Dar es salaam.  Hapa mashabiki wakiwa wanapigana kuingia uwanjani.
Wachezaji wa simba wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mechi. 
Wachezaji wa ES SETIF wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mechi.
Kikosi cha simba 
 kikosi cha ES satif
piga nikupige katika lango la ES setif
Hadi mwisho wa mchezo  simba iliibuka kidedea dhidi ya ES setif kama unavyojionea hapo kwenye Big screen
Next Post Previous Post
Bukobawadau