Bukobawadau

KIBWAGIZO HIKI NIMEKUTANA NACHO SEHEMU MDAU AKITIRIRIKA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK.

NTAKUSIKITIKIA TUUUUUUUUUU
Iwapo utakuja na takwimu kuonyesha kuwa asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa, ilhali utafiti wako umeufanyia HOSPITALI.
Ama kuwa asilimia kubwa ya waTanzania wanajua fika lugha ya kiingereza iwapo utafiti wako umeufanyia chuo kikuu.
Ama kuwa watu wengi kule nanilii wanamjua Mungu iwapo utafiti umeufanyia nyumba ya ibada.

AMA

Kuwa mabinti wengi wa kiTanzania ni warembo wakati utafiti umeufanyia Bukoba. Hahahahahahaaaaaaaaaaa

NI MTAZAMO TU MDAU NIKUTAKIE SIKU NJEMA!!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau