Bukobawadau

MAANDALIZI YA MISS UTALII KAGERA 2012 YAZIDI KUPAMBA MOTO!!!!

Jumla ya warembo 11 wanaoshiriki shindano la Miss Utalii Kagera 2012 litakolofanyika 14/7/2012 wakiwa na Meneja wa Victorious Perch Hotel katika zoezi la utalii wa ndani.
Waweza mfananisha na Odemba wa Face of Africa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau