Bukobawadau

TASWIRA UWANJANI KAITABAMICHUANO YA KAGASHEKI CUP 2013 BILELE 1-0 KITENDAGURO


Pichani anaonekana aliyekuwa Diwani wa kata ya Kitendaguro Mzee Samwel Ntambara Luangisa na mkewe pembeni wakifuatilia mechi uwanjani kaitaba hii leo ambapo timu ya bilele imeweza kufuzu kwa kuifunga Kitendaguro bao 1-0, ni michuano ya kuwania kombe la  Mbunge Kagasheki.
Mashabiki wa Bilele maarufu kama mpango mzima aka KM O wakishangilia uwanjani kaitaba.


Picha ya pamoja Waamuzi wa mchezo  na timu kapteini
Waamuzi wa mchezo huu katika picha ya pamoja .
Kikosi kamili cha timu ya Bilele
Kikosi cha timu ya kitendaguro na viongozi wao.
Soka likiendelea ndani ya uwanja wa kaitaba pichani anaonekana mchezaji wa timu ya Kitendaguro akitaka kumtoka mchezaji wa  Bilele
Mpira wa adhabu  kuelekea lango la timu ya Bilele
Mchezaji Chino Kitenge mtoto wa Mzee Kitenge mchezaji zamani Balimi akiwa amepata dhoruba uwanjani..
Ni kidhaa dhaa katika lango la timu ya kitendaguru


Wachezaji wote wa  timu zote mbiliBielele na Kiendaguro wakipeana mikakati namna ya  kufanya mashambulizi katika kipindi hiki cha dakika 30 zilizoongezwa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau