Bukobawadau

UJIO MWINGINE WA VISION MUSIC AMBASSADOR BUKOBA

VISION MUSIC AMBASSADOR imeanza kufurahia matunda yake,baada ya kukamilisha nyimbo tatu chini ya mkono wa producer MICKA JR,kazi hizo zimefanyika katika studio yao iitwao VMA RECORD.Ijumaa hii wanarelease nyimbo moja iitwayo kaza mwendo iliyobeba ujumbe mkali,kizuri ni kuwa wasanii wameonyesha ushirikiano wa kutosha baina yao bila kujali nani amekuwa katika game kwa muda gani akifanya nn!!!

Mkurugenzi VISION MUSIC AMBASSADOR Bi. MATRIDA LEOPORD akiwa ndani ya VMA RECORD.
Msanii Babu Rweyemamu
Kundi la Msanii BK Sande wa Muleba wakifanye yao jukwaani

Next Post Previous Post
Bukobawadau