HAPA NA PALE NA CAMERA YETU NOV 17,2013
Ndani ya viunga vya Manispaa ya Mji wa Bukoba Balozi Khamis Suedi Kagasheki (MB) Waziri wa Maliasili na Utali akipita kusalimiana na wadau mbalimbali,kama inavyo onekana pichani hapa ni maeneo ya Seneti nje ya soko kuu mjini hapa, pichani anaonekana akilakiwa kwa mahaba makubwa na Mh. Mzee Maulid Kambuga diwani kata ya Bugabo Wilaya ya Bukoba Vijini.
Balozi Kagasheki akipata kahawa huku akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali pichani kushoto ni Abdul Kananga Kagasheki.
Mh.Deusdedith Mutakyawa diwani kata ya Nyanga akiteta jamba na Ndg Ramadhani KambugaKatibu mwenezi wa CCM Bukoba mjini pichani kulia.
Mdau Al Amini Abdul Amini katika picha ya pamoja na Mh. Balozi Khamis Kagasheki(Swahiba)
Mdau Mr Mpoma pichani kushoto rafiki mkubwa wa Balozi Kagasheki akisikilizana na swahiba wa watu kwa umakini kabisa.
Picha kwa hisani ya Mdau Jamal Kalumuna.