Bukobawadau

FAMILIA YA MAREHEMU OMULANGIRA EMMANUEL BLANDES KANYAILOGERO KATIKA IBADA YA SHUKRANI YA KUMUOMBEA MPENDWA MAMA YAO

 Kijiji Magoti Bukoba, Nyumbani kwa familia ya Marehemu Omulangira Emmanuel Blandes Kanyailogero, kinacho endelea ni Ibada ya shukrani ya  kumuombea Mama yao mpendwa Marehemu Ma Emelensiana Kanyailogero.
Picha ya Marehemu Ma Emelensiana

 Ibada ya shukrani ya Marehemu Ma Emelensina Emmanuel Kanyailogero iliyo andaliwa na familia yake ya Marehemu Omulangira Emmanuel Blandes Kanyailogero
Wadau walio ungana na kushirikiana na familia ya Marehemu Omulangira Emmanuel Blandes Kanyailogero.
 Mdau Kasabila pichani kushoto akiteta jambo na mmoja wa watoto wa kike wa Marehemu Ma Emelensiana.
 Mdau Mzee Samuel Blandes Rwegasira , katika picha na mmoja wa wajukuu wa Marehemu Ma Emelinsiana Emmanuel Kanyailogero.
 Sehemu ya waalikwa wakiwa pembezoni.
Baada ya Shughuli ya Ibada  kinacho fuata ni waalikwa na wale wote walioshirikiana na familia katika Ibada kupata mulo.
Utayari katika huduma ya Chakula.
 Muonekano wa kitu Menu.
Kikundi cha wanakwaya wakielekea kupata huduma ya Chakula.
 Sehemu ya makaburini iliyopo nyimbani hapo.
Muonekano wa Kaburi la Marehemu Ma Emelensiana Emmanuel Kanyailogero.
Next Post Previous Post
Bukobawadau