Bukobawadau

GROOVEBACK 5 YEAR ANNIVERSARY CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK LAGER.

 KINYWAJI CHA WINDHOEK LAGER wadhamini wakubwa wa ile shangwe ya bonge la party la kusherekea miaka mitano ya Grooveback Djs ambayo inaundwa na ma dj wakali na maharufu nchini, ambao ni Dj Peter Moe, PQ, Crucial, KT, Tony na JB.
 Party hiyo ambayo ilikuwa ni funga kazi na yakufungia Mwaka pia, ilifanyika jumamosi Desemba 28 katika bar maharufu ya East 24 Bar & Grill, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Ma Dj wakali waalikwa waliokuwepo ni Dj Pinye na Dj Nijo wote kutoka nchini Kenya.
 Pichani shangwe zikiendelea ndana ya East 24 Bar & Grill
 Taswira mbali mbali ukumbini
 Madj wakiwajibika.
 Grooveback wanapiga disco la nguvu kila jumamosi katika kiota hicho cha East 24 Bar, Arcade House, chini ya udhamini wa Windhoek Lager – 100% PURE BEER.
Next Post Previous Post
Bukobawadau