Bukobawadau

WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO MEI MOSI, MOROGORO

Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa  Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Timu ya kamba Wanawake ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One (hawapo pichani) ambapo Timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo.


Timu ya kamba Wanaume ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One (hawapo pichani) ambapo Timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo.
Timu ya Mpira  ya Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshiriki katika Mashindsno ya Mei mosi yanayoendelea mjini Morogoro. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau