Utayari wa mazingira Mtalajiwa kuingia Ukumbini
Bi harusi mtalajiwa Bi Anifa Hamimu Kajugusi katika posi la kipekee kabisa!!
Kushoto ni Mama Shakila Hamimu Kajugusi, Mama mzaa CHEMA na kulia ni Mama Johari Kichwabuta ambaye ni Mzazi wa Mdau Aziz Hussein Kichwabuta mme mtalajiwa wa Bi Hanifa.
Kitendo cha kumkabidhi Bi Anifa, kutoka familia ya Kajugusi,kuwa familia ya Kichwabuta
Mama Shakila Kajugusi, Mama Mzazi wa Bibi harusi mtalajiwa mara baada ya kumkabidhi Binti yake kwa Mama Johari Kichwabuta.
Mama Johari akiwa tayari kumlea Bibie Anifa Hamim,mwanadada mwenye taaluma yake.
Meza ya wazazi wa Bi Anifa Hamimu Kajugusi
Wageni kutoka bukoba
Katika picha Bi Anifa Hamimu akiwa na sehemu ya mawifi zake,kutoka kushoto ni Bi Hawa Kichwabuta, Bi Johari Kichwabuta na Bibie Shakira Kichwabuta.
ZIFUATAZO HAPA CHINI NI POZI ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BI ANIFA
Mama Mzazi uso kwa uso na mwanae mpenzi.
Hakika Bi Anifa alipendeza na tabasamu lake.
Naam !! Bibie Umewaka,umetokelezea, umemyeisa
The Swaggz hapana chezea!!
Tukio la kukata keki /Matukio yanaendelea
No Caption..
Mtu na wifi yake ni Mh. Jeanifer Murungi Kichwabuta na Bi Anifa Hamim









Mchanganyiko wa matukio yaliojili katika shughuli ya Kitchen Party ya Bi Anifa.



0 comment:
Post a Comment