Bukobawadau

SAMARAS ANAWAVUSHA GREECE;GREECE 2-1 IVORY COAST

Penati ya dakika za nyongeza inawatoa wapambanaji  Ivory Coast,Kikosi imara kikiongozwa na Barry, Boka, K Toure, Kalou, Tiote, Gervinho, Drogba, Aurier, Y Toure, Serey, Bamba 
Shangwe za shabiki wa Greece
Mashabiki wa Ivory Coast.
Hewani ni Mchezaji Sol Bamba akipata tabu  anapozuiwa na Giorgios Samaras 
 salomon Kalou na Jose Holebas wakiwania mpira.
  Konstantinos Manolas akiwa hana jinsi wala namna kwa shughuli ya Salomon Kalou
Vasilis Torosidis akijaribu kuleta  changamoto kwa Mchezaji Kalou wa Ivory Coast
Drogba akiwa matatani..
 Didier Drogba na Giorgos Karagounis wakiwania mpira
 Greece mashabiki wa Greeze wakitoa support kubwa uwanjani
 Serge Aurier akimdhibiti Lazaros Christodoulopoulos
 Orestis Karnezis anapata matibabu lakini alishindwa kuendelea na mchezol
 Drogba anapata kadi ya njano
 GOAL! GREECE 1-0 Ivory Coast (Samaris 42)
Andreas Samaris akishangilia bao lake dhidi ya Ivory Coast(Samaris 42)
 Gervinho akifanya yake uwanjani
Mchezaji wa Ugiriki Dimitris akipata tabu kutoka  Yaya Toure 
 Arthur Boka wa Ivory Coat  na Giorgos Samaras
Harakati za Drogba uwanjani.
 Gervinho anajaribu kumminya  Sokratis Papastathopoulos 
Pichani Lazaros Christodoulopoulos na kufa Serey wakionyeshana umwambae katika nafasi ya kiungo 
Mshambulia wa  Ivory Coast  Wilfried Bony akionyesha umakini katika haraka za kuisawazishia timu yake.
Nahodha wa Ivory Coast Didier Drogba akishangilia kwa kuonyesha hisia zake.e 
 Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia bao lao
GOAL! Greece 1-1 IVORY COAST (Bony 74)
Mnamo dakika  79 Ivory Coast wanafanya mabadiliki ya pili, anatoka Didier Drogba nafasi yake inachukuliwa na  Mchezaji  Diomand√© .
GREECE 2-1 Ivory Coast (Samaras pen 90)
 Serey Die anajaribu kumzuia kwa kumshika mkono Mchezaji  wa Ugiriki Jose Holebas
PENALTY GREECE!!!!!!!
 GOAL! GREECE 2-1 Ivory Coast (Samaras pen 90)Greece wanapata bao kwa njia ya penati ndani yadakika tatu za nyongeza.
Samaras anawavusha Greese hatua ya 16.
Shangwe kubwa kwa wachezaji wa Greece.
Next Post Previous Post
Bukobawadau