SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

24 June 2014

REDD'S MISS KAGERA 2014 KUFANYIKA AUG 2,2014 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB

KAMATI YA MAANDALIZI YA MISS KAGERA 2O14 INAWAJULISHA KUWA TAREHE 2-8-2014 NI SHINDANO LA KUMTAFUTA REDD'S MISS KAGERA 2014 KATIKA UKUMBI WA LINA'S KUANZIA SAA 2.00 USIKU.WAREMBO KUTOKA WILAYA ZOTE ZA MKOA WA KAGERA WATACHUANA KUWAPATA WEREMBO WATATU WATAKAO SHIRIKI REDD'D MISS LAKE ZONE

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU