Bukobawadau

HARUSI YA MWL PAUL MARIJO NA DEVOTHA KOKUSHUBILA,NYUMBANI KWA BW HARUSI,KIJIJI KIGARAMA KATA KANYIGO

Ndivyo wanavyo onekana Mwl Paul Marijo na mkewe Devotha Kokushubila wa kijijini Bushago Kashenye katika hafla ya kuwapongeza, baada ya kufunga ndoa kanisa la KKKT usharika wa Kigarama.
 Sehemu ya wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini
 Bi harusi Devotha Kokushubila akiingia ukumbini
 Bwana harusi mwl Paul Marijo,na Bi harusi Devotha Kokushubila wakiingia ukumbini,kila mmoja kwa pozi lake.
Pichani ni sehemu ya wanafamilia upande wa Bwana harusi
 Mchungaji Diocles Mashongole wa KKKT usharika wa Kigarama akiongoza sala ukumbini
 Upande wa Burudani kutoka kwa watoto
 Mchakato wa kukabidhi zawadi kwa maharusi pichani ni mwakilishi wa mama Mzazi  wa Bw.Harusi
Neno kutoka kwa Babu wakati  kukabidhi zawadi yake kwa Bwana harusi
Next Post Previous Post
Bukobawadau