SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

31 October 2014

NI JUMAPILI HII YAMOTO BAND YA MKUBWA FELLA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB

Ile Bendi ambayo ndo habari ya Mjini 'YAMOTO BAND' ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Inategemewa kuwasha moto wa burudani ndani ya Linas Club Nov 2,2014
Ewe mkazi wa Bukoba na maeneo ya jirani ,Unaanzaje kukosa kushuhudia Vijana hawa wadogo wenye kuimba kwa hisia na kupelekea wewe mtazamaji kupata hisia pia..,'DEKAA!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU