SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 October 2014

SAKATA LA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU

Lile sakata la Miss Tanzania 2014 ,leo umetoka ushahidi mwingine juu ya umri halisi Sitti Mtemvu - passport yake inaonyesha ana miaka 25!
 Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu  ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu
                            Eti  Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!

Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

2 comment:

KEI said...

KWELI KIKULACHO KI NGUONI MWAKO...ALIETOA PICHA ZA HIZI IDs ATAKUWA MTU WAKE WA KARIBU. AMA LA NI MTU ASIYEKUWA MAKINI KAZINI KWAKE - IDs ALIPEWA KWA MATUMIZI MENGINE YE KAZILIKISHA KUMCHAFUA.

NA HUYU BIBIE NAYE AJUE NJIA YA MUONGO NI FUPI!! KHA!

Anonymous said...

Lakin mm nimempenda sitti ni mzuri nataman angekuwa mke wangu sitti nakupenda sana moyo wangu unateseka sana juu yako kama siku nikipata bahati ya kuonana na wewe nitakuonyesha jinsi gani nakupenda I LOVE U Sitti

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU