SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

17 October 2014

SAKATA LA SITTI MTEMVU MISS TANZANIA 2014

Lile sakata la Miss Tanzania 2014 ,leo umetoka ushahidi mwingine juu ya umri halisi Sitti Mtemvu - passport yake inaonyesha ana miaka 25!
 Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu  ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu
                            Eti  Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!

Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

1 comment:

Prudence Karugendo said...

Hiyo kali, kwamba alianza shule akiwa na umri wa mwaka 1! Lakini kama kasomea Marekani inawezekana. Maana kuna watoto wa ndugu yangu wameanza shule hata kabla ya kufikisha mwaka!
Lakini hilo la umri la nini? Au watu wanahangaika na zawadi anazopata Miss Tanzania? Kama tunataka mtu wa kutuwakilisha kiukweli katika taji la dunia mimi naona huyu binti anafaa

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU