Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA BALOZI WA TRINAD NA TOBAGO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akipokea zawadi kutoka  kwa Balozi wa Trinad na Tobago Mhe. Margaret Allison baada ya kumaliza kikao cha kushauriana jinsi kuimarisha taasisi ya Afrika, Karibiani na Pacific (ACP). Balozi Margaret amemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels.
Next Post Previous Post
Bukobawadau