Bukobawadau

SALUM MWALIMU AONGOZA OPERESHENI DELETE CCM, YAZAMA VIJIJINI RUKWA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akisaini daftari la wageni kwenye ofisi ya chama hicho, Kijiji cha Laela, Jimbo la  Nkwera, mkoani Rukwa wakati alipowasilini kijijni hapo juzi Jumatano, kuanza ziara ya siku 5 katika vijiji mbalimbali vya mkoani Rukwa, ukiwa mwendelezo wa  ziara iliyopewa jina la Operesheni Delete CCM kuanzia uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Laela
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akihutubia wananchi wa Kijiji cha Kaoze, kilichopo mwambao wa Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa wakati alipowasilini kijijni hapo kuendelea na ziara ya siku 5 katika vijiji mbalimbali mkoani humo ukiwa ni mwendelezo wa  ziara iliyopewa jina la Operesheni Delete CCM
Next Post Previous Post
Bukobawadau