Bukobawadau

KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOGLeo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.
Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana bila ninyi mablogger sidhani kama kazi hii ingeendelea mpaka kufikia hapa na pia kuna baadhi yao unielekeza kwa kunikosoa hata kunifundisha ni kipi cha kufanya il niweze kufikia malengo,
Na pia washukuru wadau wetu wanaotembelea Blog Yetu ya Pamoja Blog  maana bila nyie mimi nisingekuwa nafanya kazi hizi.  
Asanteni sana na pia nawapenda sana munguawalinde na awasimamie katika ujenzi wa taifa letu
Next Post Previous Post
Bukobawadau