KARIBU YUMMY'S GROCERY KWA MAHITAJI YAKO YA NYUMBANI
Mjini Bukoba Unaweza kupata Mahitaji yako ya nyumbani kwa bidhaa bora na halisi ukifika Yumm's Grocery waliopo mtaa wa Kawawa/Postal Road jirani kabisa na Jengo la ELCT.
Ndani ya YUMMY'S GROCERY ni chaguo sahihi kwa mahitaji yote muhimu kwa matumizi ya binadamu, kuanzia vyakula, mboga, vifaa vya nyumbani, sokoni, maofisini, mashuleni...you name it!
Tunakutana na Shop manager akiwa katulia ,ile tunataka kujua kuna nini anaanza kutaja bidhaa mpaka sasa hivi anaendelea...anasema kuna snacks kama ice cream, chocolate, biskuti ,soda sambusa Chips kwa nje, senene ,maziwa nk bila kusahau Matunda aina mbalimbali
Mdau msomaji bila tufahamu wazi kuwa mahitaji ya nyumbani kama chakula, ni ya lazima katika kuhakikisha ustawi wa familia tembelea sasa YUMMY'S GROCERY upate kufanya Manunuzi yako ya bidhaa za nyumbani kama mchele, sukari ,dawa ya mboga (chumvi) , unga wa mahindi na ngano, sabuni, mafuta ya kupikia, na vingine vingi, muendelezo wa picha zifuatazo chini zinajieleza
Jambo moja inabidi tutambue kuwa sehemu kubwa ya dunia aina ya raw materials za vyakula ni ile ile lakini namna ya upatikanaji na upikaji ndio hutofautiana...Je unajua kilipo Kichuguu cha Senene?!
YUMMY'S GROCERY: MAARUFU KWA MR. KIRAJA- wapo Kawawa/Postal Road jirani na Msikiti wa Ijumaa usawa wa ofisi za Kadetfu zilizopo katika Jengo la ELCT UJIRANI MWEMA katikati ya Mji wa Bukoba
Jamaa aliendea kutaja bidhaa mpaka mteja unaweza kuingia shaka....!!
Kwa kifupi ni kwamba jamaa wamejipanga wapo kisasa zaidi vitu vya urembo kama kawaida,perfumes, saa za ukutani na saa za mikononi ,vifaa kwa ajili ya kufanyia usafi hadi vifaa vya kuchezea watoto.
Muonekano wa bidhaa mbalimbali
Hapo YUMMY'S GROCERY unapata michomo safi kabisa ,Nyama,kuku,chips ,mayai nk.
Yaani full hekaheka...
YUMMY'S GROCERY ..WE ARE COMMITTED TO SERVE YOU!!!