Bukobawadau

SKYLIGHT BAND WASHEHEREKEA FUNGA MWEZI NA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI YA NGUVU, KESHO JUMAMOSI TUKUTANE NYAMA CHOMA FESTIVAL

1
Joniko Flower (kulia) akiongoza mashambulizi huku akipewa tafu ya kutoshaaa na Aneth Kushaba (katikati) na Sony Masamba (kushoto).
Kama ilivyo kawaida ya Bendi yako Matata na inayokimbiza Tanzania kwa sasa Ijumaa ya Tarehe 31.11.2014 walipiga bonge moja la show pale Masaki Thai Village, Show hiyo iliandaliwa maalumu kuwashukuru mashabiki wao wanaowapiga sapoti ya nguvu kwenye show zao za kila Mwisho wa wiki.Kama Kawaida Mlangoni ulikuwa ukiingia unapata Glass moja Ya Tequila.Ratiba Yetu kwa Wiki Hii Hiyo hapo chini
Friday:5.12.14 kama kawaida, bado tuandelea kusema asante kwa wadau wetu kwa support kubwa#zawadi kibao na muziki mzuri Thai village masaki
Saturday:6.12.14 Nyama na muziki#nyamachomafestival na Skylight Band, vijawanja vya UDSM njoo ule nyama proper na burudani toka kwa bendi proper na burudani zingine kibaoo
Sunday:7.12.14 ni bonanza letu kama kawaida#Skylight Sunday bonanza hapa tunamaliza weekend ki Africa na bendi yako Escape1 Beach club Muziki mzuri ndo kazi
Sam Mapenzi akizipiga zile Fleva za Kinaija kwa ustadi kabisa ili kuwapa burudi murua mashabiki wake.
Bella Kombo(kushoto)akiimba kwa madaha kabisa kuwapa burudani mshabiki wake huku akipewa back up na Aneth Kushaba AK47.
Digna Mbepera (kulia) akipiga zile Back Vocal ili kumpa sapoti Aneth Kushab a(katikati) na Bella Kombo (kushoto).
Aneth Kushaba AK 47 akizitiririsha Vocal zake kalii kuwapa rahaa mashabiki wake,You Know what Ijumaa Hii Aneth akatunukiwa Shahada yake ya muziki kutoka kwa mashabiki wake wapenziiiii waliokunwa na burudani na vocal zake kaliiiiiiii
6
Hashimu Donode(Wa kwanza kulia)akizipiga zile vocal zake kaliiiiiiii na hatariiiii ili kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village.
7
Mutu ya watu,mutu ya Congo anaitwaga Sony Masamba (kulia) akiimbisha Sebene kali sana la Fally Ipupa,,Get up, get up and dance, dance Africa viens dance, original Europa viens dancer, original America, let’s dance, original Sud America Como estas, original Asia nǐ hǎo, original Epasuka, fire Epasuka Kinshasa bisengo, original Abudjan on sanshai, original Douala Yaounde, makosa, original Libreville oriengo, original.
Wanamwita King of Solo Guitar Allen Kisso akizichana zile nyuzi kwa sanaaaa kuweka ladha tamuuuu ndani ya muziki mzuri unaowapa raha mashabiki ndani ya Thai Village.
Anaitwa Daudi Tumbaaaa akishangaaa Lensi yetu ilipomfuataaaa huku akizipiga tumba zake,Kwa Mbaliii ni Joniko Flower akizipiga Vocal kwa sanaaaaaa
Hapoooo sasaaaaa Vijana wakiyarudi mauno na nYimbo ya Fally Ipupa Muse yoyo muyaya ma eh eh, Museyi muse (Muyaya me), Museti museti (Muyaya me), Allez muse yoyo (Muyaya me), Moseto museto
Uso wa Kaziiiiii ni Sony Masamba akiyarudi vilivyoooo akipewa Sapoti na Aneth Kushaba(katikati)
Mashabiki kwa Rahaaaaaa zaoo wakiyarudiiiii
Kwiooo kwioooo kikukuuu huyoooo ana manyoya huyoooo Kwioooo kwiooooo
Ukafika ule muda wa Mashabiki kucheza staili za Bendi yao Skylight na aliyepatia kupewa zawadi Nonoooooo,Hehehe Hapo sasa wa kwanza huyu hapaaa lakini hakushindaa
Wa pili Huyu hapa kwa upande wa akina Kaka alipatiaaaaa mwishoni akaharibuuuuu.
Sasa kwa Upande wa akina Dada huyu ndio alikuwa bingwa waoooo hebu mtazame aiseee ni shidaaaa
Bwana weeeee unamuona mtoto huyooo mwenye suruali ya nyekunduuuu mtoto hatariii huyuuuuu
Bella Kombo akashindwa kujizuia na kuamua kumshangili shabiki huyu mwenye Suruali nyekundu
Na hatimaye akashindaaa na kupewa zawadi yake nonooooooooooo usikose leo tunaendelea na zoezi hili.
Haya Sasa Wakina kaka hawa Wawili wakaanza kuchuana kucheza zile staili kali za bendi yao lakini walitoka droo na wote wakapewa zawadi zao nono,hebu wafatilie hapa chiniii
Hapoooo sasa Weweeee mwanaume panga boiiii hahahah
Hapo sasa lipompo lipompoooo lipompoooo safi sanaaaa
Hahahahah Mguu wa kushotooo mbeleee,mguu wa kuliaaa mbeleeee
Na zawadi zikatolewaaaaa kwa washindiii,ni furahaaa sanaaaaa.
26
Burudani ikaendelea kama kawaida, nyomi la watu kama siku zoteeeeee
Next Post Previous Post
Bukobawadau