Bukobawadau

KASI YA MAUAJI YA KUKATA WATU MAKOROMEO!

Matukio ya mauaji ya kukata watu makoromeo yanaendelea kuchukua kasi Mkoani Kagera.
Matukio mawili yakusikitisha yametokea Usiku wa kuamkia leo June 20,2015 Katika Kijiji cha Gera ,Kata ya Gera iliyopo wilayani Missenyi ,tukio la kwanza Bwana Gozi Gasper pichani amekutwa ameuawa kwa kukatwa koromeo na watu wasiojulikana na tukio lingine Bwana Nurdin Nuru amekutwa ameuawa katika kijiji hicho na mwili wake kutelekezwa barabarani

Matukio haya yanakuja ikiwa ni baada ya Wiki moja MTANDAO wa Jamii Forums kuripoti kuuawa kwa watu wawili katika kata ya Nyakato ,Bukoba Vijijini huku wengine wakijeruhiwa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau