Bukobawadau

MISA YA MATANGA YA BI LETITIA K.RUHANGISA DEC 22,2015

Muonekani wa makazi ya milele ya Marehemu Bi Letitia K.Ruhangisa aliyefariki tarehe 29,10,2014 kwa ajali ya Gari iliyotokea jijini Arusha.
 Familia ya Jaji Ruhangisa inatoa shukrani za dhati kwa ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote walioshiriki kwa hali na mali katika msiba wa mpendwa wao Bi. Letitia K .Ruhangisa aliyepumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 4 Nov 2015 Kijijini Ibwera Bukoba.
Yafuatayo ni matukio ya picha katika Shughuli ya Matanga/Misa ya Shukrani ikiongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini iliyofanyika siku ya Jana Dec 22,2015 Nyumbani kwa Jaji Ruhangisa Kijijini Ibwera na kuhudhuriwa na watu wengi wakiwemo Viongozi na watu mashuhuri.
 Ni Simanzi kubwa kwafamilia ya Jaji Ruhangisa pichani katikati na watoto wake Mouline na Fina.
Sehemu ya wanakwaya wakiendelea kushiriki Ibada
 Misa maalum ikiendelea nyumbani Kijijini kwa Jaji Ruhangisa
Baba Askofu Kilaini akiendelea kuongoza misa hiyo.
Taswira mbalimbali katika picha Ibada ikiendelea






Padre akitolea jambo ufafanuzi kulingana na ratiba ya shughuli hii
 Jaji Ruhangisa akitoa neno la Shukrani.
 Jaji Ruhangisa akapata fursa ya kutoka Utambulisho maalum kwa watu mbalimbali
 Wakati Jaji Ruhangisa akiendelea kutoa Utambuliwa.
 Kushoto ni Prof Rutinwa katika picha na Mr Shiza.
Sis  pichani na Mama Matungwa mpambaji wa Shughuli hii
 Eneo la kaburi muda muchache kabla la tukio la kuweka mashada ya maua na mishumaa
 Fr. James Rugemalira akiweka mshumaa kwenye kaburi la Marehemu Bi Letitia Ruhangisa
 Jaji Ruhangisa na wanae wakiwa tayari kwa zoezi la kuweka  Mishumaa kwenye kaburi la mpendwa wao
 Zoezi la kuweka mashada kwenye kaburi linaongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
 Mh. Jaji Rihangisa akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wake Bi Letitia Ruhangisa.
 Watoto wa Marehemu Bi Letitia, Mouline Ruhangisa na Fina Ruhangisa wakiweka shada ya maua


 Mama wa Ubatizo wa Marehemu Bi Letitia Ruhangisa mara baada ya kuweka shada ya maua.
Prof Rutinwa akiweka shada la maua
Adv. Protas Ishengoma akiweka shada la maua kwa niaba yake na wageni waliotoka jijini Dar.
Fr. James akiweka shada la maua kwa niaba yake na Ukoo mzima wa (Abakoba)
Mr &Mrs Shiza wakiweka shada la maua
Mwakilishi wa Waislam Bwana Hashim Hamada akiweka shada la maua
Mwakilishi wa Kijiji cha Kabona akiweka shada la maua
Sis Martina akiwa tayari kuweka shada ya laua
Mwakilishi wa Viongozi wa Serikali akiwa tayari kuweka shada la maua
Mwakilishi wa familia.Byarugaba
Sis Rose pichani akiweka shada la maua.
 Mkurugenzi wa MABIBO BEER,WINES AND SPIRITS LTD Fr.James Lugemalira  na mkewe katika picha maalum ya kumbukumbu na Jaji Ruhangisa
Kushoto ni Mzee Karazi, akifuatiwa na Mr. Shiza katika picha ya kumbukumbu na Jaji Ruhangisa
Muendelezo wa picha za kumbukumbu kwenye kaburi la Marehemu Bi Letitia Ruhangisa
Mzee Kagenzi wa Ibwera.
 Wadau wote wakishiriki Kinywaji cha Windhoek
Ndivyo anavyo onekana Fr. James Rugemalira akiongozana na mke wake
 Wageni wakiendelea kupata huduma ya msosi.
 Mr & Mrs Emmanuel  wakipata Chakula
 Mrs Chirisopher Chichi pichani
 Mr Chichi na watoto wake pichani sehemu ya wadau waliohudhuria shughuli ya Misa hii.
Wadau mbalimbali wakipa huduma ya Chakula
 Matukio mbalimbali ya picha mara baada ya Shughuli hii
 Paroko akiteta jambo la Adv. Ishengoma
 Muonekano wa Nyumbani iliyopo Kijijini Ibwera nyumbani kwa Jaji Ruhangisa
 BUKOBAWADAU BOG tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Bwana Shiza akisalimiana na Ndugu Anic Kashasha

Matukio zaidi ya picha 200 yanapatika katika Ukurasa wetu wa facebook kwa gonga link hii MATANGA YA BI LETITIA K. RUHANGISA
 Kijana Emmanuel Kahigi akibadilishana mawazo na Jaji Ruhangisa
 Watoto wa Mr. Vhristopher Chichi
 Bi Wilhelmina Balyagati ni kati ya wadau walioshiriki misa hiyo.

Next Post Previous Post
Bukobawadau