Mwananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph, Bandarini Dar es Salaam jana asubuhi.
"Ni kama anaongea maskini mmiliki wa Noa hii hivi watu waliokuwa wamepanda wamesalimika ?"
Noa ikiwa mtaroni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika.
1 comment:
OOOhhhh jamani inauma sana. mtu kajinyima ili atimize lengo lake, inatokea kitu kama hii but Keep in t... Mungu ampatie Imani, alipwe Insurance yake bila matatizo. Usikate tamaa mtu wangu hayo ndo maisha. kama ulikua umeikatia Insurance, mbona easy tu
Post a Comment