SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

07 September 2016

JE, KILIMO BADO KINA NAFASI YA KUKUZA UCHUMI WA TZ NA MKOA WETU WA KAGERA?

MADA YA LEO;JE, KILIMO BADO KINA NAFASI YA KUKUZA UCHUMI WA MKOA WETU WA KAGERA NA TANZANIA KWA UJUMLA? NA JE TUNAWEZA KUFIKIA TANZANIA YA VIWANDA BILA KILIMO?

1 comment:

Anonymous said...

Mada ya leo ni nzuri sana. Mimi naamini kilimo kina nafasi kubwa sana mkoani Kagera. Wana Kagera hebu badilikeni limeni mazao mengine badala ya kung'ang'ania ndizi na Kahawa tu. Udogo wa Kagera miaka nenda rudi umekuwa ukilimwa mazao hayo mawili tu kwa wingi. Sasa hebu kila mmoja atenge nusu heka achimbue mikahawa na migomba alime mbogamboga, nafaka, kama vile kunde, choroko, mazao ya chakula kama vile mahindi, mtama, n.k. Naamini watu watavuna hadi washangae, kuliko hii wanalima ndizi zinaivia shambani. Uwezo wa kusafirisha mikoa mingine hawana. Vijijini unamuuzia nani kila mtu anazo. Kahawa imepata ugonjwa mtu ana hekari 5 anavuna gunia 4 anajisifia kweli. Sasa jamani kinachotafutwa ni pesa na si historia kwamba babu wa babu wa babu aliacha migomba na mikahawa. BADILIKENI WANA KAGERA. MUNGU AWASAIDIE

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU