Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KATA BUYANGO WILAYANI MISSENYI


 Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Kamala anaendelea na ziara Jimboni mwake, ambapo siku ya Jana aliweza kutembelea Kata ya Buyango Wilayani Missenyi katika kuzisikiliza kero zinazowakabili wananchi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Balozi Dk. Diodorus Kamala akipokea zawadi kutoka katika Vikundi mbalimbali vilipovyopo  kata ya Buyango,Balozi Dk Kamala ameahidi kuendelea kuvisaidia Vikundi hivyo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau