Bukobawadau

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE KUTOKA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wakisikiliza Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa za Kamati maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa vyama vya Siasa wakijadiliana jambo wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa za Kamati maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati iliyochunguza madini ya Almasi Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Next Post Previous Post
Bukobawadau