Bukobawadau

MAZISHI YA BI VEREDIANA KIFURA (MAMA TINKA WA KARAGWE NYAISHOZI

Sehemu ya wanafamilia ya Mzee Benjamini Tinkaligaile wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazishi ya Mpendwa mama yao Marehemu Bi Verediana Kifura,  pichani kutoka kushoto ni Bwana Bekatisa Tinka akifuatiwa na kaka yake ndugu Senjalin Tinkaligaile pamoja na mama zao wadogo.
Wanafamilia wakibadilishana mawazo mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mama yao mpendwa Marehemu Bi Verediana Kifura ,kutoka kushoto ni Bi Lenise (Mrs Tabura),Ndugu Bencolias Tinkaligaile ambaye ni kaka mkubwa wa familia na wa mwisho kulia ni Bekatise Tinka.
Mchungaji Richard Ngoma akiongoza Ibada ya Mazishi ya Bi Verediana Kifura yaliyofanyika juma lililopita nyumbani kwake Kijijini Nyaishozi Karagwe.
Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Bi Verediana Kifura (Mama Tinka) yaliyofanyika juma lililopita huko Karagwe.
Baba wadogo wa familia hii wakiendelea kushiriki Ibada
Mchungaji Richard Ngoma  akiendelea kuwajibika katika Ibada maalumu ya mazishi ya Bi Verediana Kifura.
Taswira Ibada ya mazishi ikiendelea..

Bwana Bekatisa Tinka pichani akiwa na shemeji yake


Mzee Benjamini wakati wa kutoa heshima za mwisho kumuaga mpendwa Bi Verediana
Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Bi Verediana Kifura


Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mpendwa Bi Verediana Kifura
Bwana Boniface Kapira akisoma wasifu wa Mpendwa wetu Bi Vereiana Kifura
Bwana Bencolias Tinkaligaile akitoa neno kwa niaba ya familia.
Salaam za rambirambi msiba wa Bi Verediana Kifura
Marehemu Bi Verediana Kifura pichani enzi za uhai wake

Baba wafamilia pichani ni Mzee Benjamini Tinkaligaile
Taswira mbalimbali wakati taratibu za Ibada ya mazishi zinaendelea
Wakati utaratibu wa salaam za rambirambi kutoka makundi mbalimbali ukiendelea.
Ibadda ya mazishi ikiendelea.

Salaam za rambirambi msiba wa Bi Verediana Kifura
Uncle Vedasto Mazale  ambaye ni Mdogo wa Marehemu Bi Verediana Kifura akitoa neno la shukrani.
Umati wa waombolezaji ukiendelea na Ibada ya mazishi ya Bi Verediana Kifura
Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaBiVeredianaKifura.

Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho ya maisha ya mpendwa wetu Bi Verediana Kifura (Mama Tinka)
Kwa heri mpendwa wetu Bi Verediana Kifura, tunakuombea kwa mwenyezi mungu upimzike kwa Amani
Mrs Lenise Tabura pichani
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Bi Verediana likiwa eneo la kaburi.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bi Verediana Kifura likiingizwa kaburini
Apumzike kwa amani mahala pema peponi Mpendwa wetu Verediana Kifura.

Ndugu Bencolias Tinkaligaile akiweka udongo kwenye kaburi la Mama yake mdogo.
Bi Sendonevia Tinka kwa majonzi makubwa akiweka udongo kwenye kaburi la mama yake mpendwa Bi Verediana Kifura
Wanafamilia wakiweka Udongo kwenye kaburi la mpendwa Bi Verediana Kifura
Utaratibu wa kuweka udongo kwenye kaburi la mpendwa wetu ukiendelea
Mkwe wa familia hii akiweka Udongo kwenye kaburi
Zoezi la kuweka Udongo likiendelea kwa watu wote.
Mzee  Benjamini Tinkaligaile akiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la mke wake mpendwa Bi Verediana Kifura
Mzee  Benjamini Tinkaligaile wakati wa kuweka shada la maua kwenye kaburi la mke wake mpendwa Bi Verediana Kifura
Anaonekana Mzee Benjamini mara baada ya kuweka shada la maua.
Mama Velediana Tinkaligaile Mama mkubwa wa familia hii akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu Bi Verediana Kifura
Mzee Domisian Tinkaligaile akiweka shada la maua
Mr. Saimon Rweza akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mpendwa wetu Bi Verediana Kifura
Bwana Rodi Tinkaligaile mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Verediana Kifura akiweka shada la maua.
Bwana Bencolias Tinkaligaile kaka mkubwa wa familia akiweka shada la maua.
Bwana Bencolias Tinkaligaile kaka mkubwa wa familia akiweka shada la maua.
Ndugu Anord akiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa mama yake 

Sehemu ya wajukuu wa marehemu Bi Verediana Kifura wakiwa eneo la kaburi kwa ajili ya kuweka maua na mishumaa.

Ndugu Filipo Tinkaligaile akiweka shada la maua
Seketovela Tinka akiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa mama yake
Watoto wa marehemu Bi Verediana Kifura wakiendelea kuweka mashada ya maua
Bi Besitile Tinka katika utayari wa kuwe shada la maua.
Bi Sendonovia Tinkaligaile akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake mzazi
Wakamwana wa familia hii wakiweka shada la maua kwa pamoja.

 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Karagwe Ndugu Blandes Kauku pichani akishiriki mazishi ya mpendwa mama yetu Bi Verediana Kafura

Muendelezo wa matukio ya picha eneo la kaburi
Wajukuu wa marehemu Bi Verediana Kafura wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi

Zoezi la kuweka mashada ya maua likiendelea.
Bwana Pisi Sospita mkwe wa familia hii naye akiweka shada la maua
Mwakilishi wa Kijiji akiweka shada la maua
Bwana Boniface Kapira muongozaji wa shughuli ya mazishi hayo akiweka Shada la maua.
Bwana Boniface Kapira akiweka shada la maua kwenye kaburi la Bi Verediana Kifura


 Bwana Bekatise Tinkaligaile akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa Mama yake Mzazi.

Utaratibu wa mashada ukiendelea...

Taswira mbalimbali eneo la tukio mara baada ya kumpumzisha mpendwa wetu Bi Verediana Kifura
Katika hili na lile Bwana Bekatise akiteta na Ndugu  Blandes Kauku mbunge wa zamani wa Jimbo la Karagwe
Muendelezo wa matukio ya picha msibani hapo
Umati wa waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa

Mchungaji akihitimisha shughuli ya mazishi hayo


Mtu na Kaka yeke pichani Lenise Tinka (Mrs Tabula) na Beka Tinka
Wanafamilia Dada zake Tinka wenye muonekano wa Kitusi ,Bi Lenise ,Besetile, venisela pamoja na mama yao mkubwa Verediana na mdogo wao Steve maarufu kama tajiri wa Urambo Tajiri wa urambo na shemeji yao Bwana Edson Bebwa katika picha ya pamoja na Mzazi wao Mzee Benjamin (aka) Roho yangu
Ndugu Edson Bebwa katika picha ya pamoja na Baba mkwe wake Mzee Benjamini Tinkaligaile.
Bwana Frank  Tinkaligaile pamoja na shemeji yake Mrs Bencolias pichani kulia.
Sehemu ya waombolezaji wakibadilishana mawazo mara baada ya shughuli ya mazishi


Katika picha ya pamoja Mrs Lenise Tabura  na kaka zake.
Bwana Tinka na Dada yake Bi Kemilembe Tinka pichani
Mrs Lenise Tabura na kaka yake Bekatise Tinka,poleni sana ndugu kwa msiba huu wa mama yenu kipenzi

Anaonekana Ndugu Bekatise Tinka katika harakati zake mara baada ya shughuli ya mazishi

Muendelezo wa matukio ya picha msibani hapo
Muendelezo wa matukio ya picha msibani hapo


 Taswira wakati waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa.Tasira baadhi wa waombolezaji mara baada ya shughuli ya mazishi wakielea makwao.

Miaka kadhaa iliyopita ,enzi za ujana wao pichani ni Mzee Benjamini na mpendwa wake Bi Verediana Kafura,apumzike kwa Amani!!

Masikani hasilia Nyumbani kwa Mzee Benjamini Tinkabigaile.
Mzee Benjamini na mwana Bekatisa TinkaKutoka kushoto ni Bwana Edson Bebwa akiteta jambo na Baba mkwe wake Mzee  Benjamini Tinkaligaile
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Muendelezo wa matukio ya picha mara baada ya mazishi ya mpendwa wetu Bi Verediana Kifura.
Waombolezaji wakiendelea kutoa mkono wa pole kwa Bwana Bencolias Tinkaligaile mtoto mkubwa wa familia hii
Bi Kwmilembe Tinka ,Steve Tinka na Beka wakibadilishana mawazo
Poleni sana kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mama yenu Kipenzi,tunamuombea apumzike kwa Amani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau