#CRDBBank #Iftar #Bukoba
Benki ya CRDB imeandaa Futari kwa ajili ya wateja wake wa Mjini Bukoba ikihudhuriwa pia na viongozi wa kanda na wafanyakazi wa benki hiyo na kupongwezwa na Profesa Faustin Kamuzora Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera
Waalikwa wakiendelea kupata futari
Meneja wa benki ya CRDB tawi la Bukoba Carlo Sendo akifurahia iftar
Sheikh Kakwekwe sheikh wa Wilaya ya Bukoba akipata iftar safi iliyoandaliwa na Benki ya Crdb
Pichani kutoka kushoto ni Mr Zuri, Mwalimu Bube 'Leoleo' na Meneja wa Crdb Benki Tawi la Bukoba Carlo Sendo
Muendelezo wa matukio ya picha
Kutoka kushoto ni Mr Parma, Mr Abemulo na Bwana Hamza ItembwePicha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Mlatibu wa Iftari kwa upande wa Wadau bwana Al Amin abdul akisalimia na Mgeni Rasmi Profesa Faustin Kamuzora Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera

0 comment:
Post a Comment