Bukobawadau

MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA 'RUGOYE DAY' DEC 28,2019 KATIKA KIJIJI CHA KASHAMBYA GERAKatika picha ya pamoja baadhi ya wanachama wa Lugeye Social Club walioshiriki sherehe za 'Lugoye Day ' zilizofayika ndani ya kata ya Gera,Nyumbani kwa Ndugu Charles Mberwa Ishemuhabura tarehe 28/19/2019 sherehe zilizotanguliwa na Ibada ya shukrani.

Kwa muda mrefu sasa WanaLugoye wameendelea kuchangia maendeleo kwenye kata husuka kila wafanyapo mkutano wao wa kufunga mwaka wameendelea kuacha alama katika taasisi mbalimbali jambo lisilotiliwa shaka kabisa na kwa sasa Siku WanaLugoye na Umoja wao wanasikika na kupongezwa nje na ndani ya Tanzania.

Meza kuu katikati ni Mh. Diwani Bitegeko wa Kata ya Gera.

Katika picha ya pamoja familia ya Ndugu Charles Mberwa Ishemuhabura wa Kashambya Gera mwenyeji wa hafla ya Lugoye Day 2019.

Leo Dec28,2019 Lugoye Social Club wameendelea kuacha alama kwa kutoa  mashine ya kudurufu (photocopy mashine )ya kisasa kabisa kwa shule ya Sekondari Gera.

Moja kwa moja tushiriki matukio ya awali ya Ibada shukrani iliyofayika nyumbani kwa familia ya ndugu Mberwa wa Kijijii Kashambya Gera

Mr &Mrs Machume wakiwasili kwa ajili yakushiriki Ibada hiyo

Ibada hiyo ya shurani sambamba na kumuombea Mama wa Familia ya mzee Mberwa Ishemuhabura imeongozwa na Fr.Kamugisha wa Parokia ya Minziro

Padre akiendelea kutoa mahuburiWanafamilia wakiedelea kushiriki IbadaIbada ikiendelea kama anavyoonekana ndugu Chief pichani kushoto akiwa ameungana a wanafamilia wengine.


Mr & Mrs Mberwwa pichai wakati Ibada ikiendelea ni Ibada maalumu ya Shukrani kwa familia

Mlangila Focas Lutinwa akishiriki Ibada ya Shukrani iliyofanyika mapema nyumbani kwa familia ya Mr &Mrs Mberwa  Kashambya Gera


Muendelezo wa matukio Ibada ikiendeleaEndelea kuwa nasi kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha sherehe ya Lugoye Day Gera 2019Wanakwaya wakiwajibika wakati wa Ibada ya Shukrani


Wanafamilia wakiwa tayari kutoa vipawa vyao katika Ibada hiyo,


Padre akinyunyuzia maji ya baraka kweye ya makazi mapya ya familia hii.


Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre Kamugisha mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.

Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre Kamugisha mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.

Wanafamilia katika picha ya pamoja na Padre mara baada ya tukio ya kutabaruku Nyumba mpya ya makazi ya Ndugu Charles Mberwa.


Ahsante Sana Ndugu Mberwa kwa kuendelea kutuamini na kutushirikishs, timu nzima ya Bukobawadau iakutakia kheri  na Wanalugoye nyote ya Mwaka Mpya 2020

Muendelezo wa matukio ya picha eneo la tukio

Hongera sana Luguye kwa jitihada zenu


Mwenyekiti wa Lugoye Social Club akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Viongozi wa kamati za maendeleo ya Kata za Ishunju,Gera na IshoziMuendelezo wa matukio ya picha wakati Ndugu Charles Mberwa akitoa utambulisho na neno la shukurani kwa wageni walioshiriki hafla hiyo

Shukrani za dhati kabisa zikielekea kwa mke wake mama watoto wake.

Familia ya Mr &Mrs Charles Mberwa.

Picha ya pamoja familia ya Mr &Mrs Charles Mberwa Ishemuhabura.


Wakati munada wa bidhaa mbalimbali ukiendelea


Sherehe yetu ikiendelea kuchukua kasi


Zawadi kutoka vikundi mbalimbali vya kina mama

Zawadi maalumu kwa Mrs & Mrs Focas Mulangira Lutinwa na Familia ya Mr &Mrs Mberwa kwa juhudi zao za kuipigania Kata ya Gera.


Burudani ya Show


Mulangira Ben Kataruga akisalimiana na ndugu na jamaa

Mulangira Kataruga alipokutana na Kiongozi Padre Mboneko

Katika picha Wanamama Wa Lugoye Women Group kwa siku ya leo wamekabidhi mifuko 50 ya Cement kuchangia Ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari Gera yenye thamani ya Tsh 1,000,000 /=

Kwa kuzingatia Changamoto zinazo wapata mabiti katika kupata malazi na kuwaepusha na changamoto mbalimbali zikiwemo mimba za utotoni;Lugpoye Women Group Group wameendelea kujikita katika kuongoza nguvu ya ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari kata ya Gera,Hivyo mwaka huu wanatoa mifuko ya Cement ipatayo 50 yenye thamai ya milioni moja .Adv. Buberwa pichani kulia akifuatilia kinachojiri


Muendelezo wa matukio ya picha sherehe ya kufunga Mwaka ya Lugoye Day

Sasa tunapata na kuipokea Sala ya Chakula kilichoandaliwa katika hafla hii.


WanaLugoye pichani


Burudani kabambe kutoka kwa kikundi cha WawindajiMweyekiti akitoa historia ya Lugoye Social Club tangu kuanzishwa kwake mpaka hivi leo

Ndugu Wince Mwenyekiti wa Lugoye Social Club akitoa neno.

''Elimu ni Ufunguo wa Maisha ya Sasa na Badae na pia Tanzania itajengwa na Sisi Wenywe'' huu ni msema wa Logoye Women GroupMuendelezo wa matukio ya picha kutoka Gera Kashambya sherehe ya Lugoye Day

Peter 'Tosh' Rwechungura pichani kulia

Hotuba ya Lugoye Women Group katika maadhimisho ya Sherehe za mwaka tarehe 28/12/2019 ikisomwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Bi Halima Nsubuga
Lugoye Women Group ni akina Mama wapatao 19 ambao wameolewa katika Kata za Ishozi,Gera na Ishunju na makazi yao na shughuli zao zikiwa jijini Dar.

Matendo ya huruma kwa Lugoye Women Group yalianza mwaka 2010 kwa kuangalia mahitaji ya msingi kwa zao walioko nyumbani Mkoani Kagera na mpaka hii leo Lugoye Women Group wameweka alama katika taasisi mbalimbali na kuwa sehemu ya Mchango kwa walionufaika katika kutimiza ndoto zao.

Lugoye Women Group kwa kutambua Changamoto kubwa katika kutoa Elimu kwa watoto wetu Tanzania ndio maana mara kwa mara misaada yao inalenga inalenga mashuleni ili kuungana na jitihada mbalimbali za Serikali na Asasi zisizokua za kiserikali katika kujenga Taifa ambalo linapata Elimu Bora kwa sasa na badae.

Kwa kuzingatia Changamoto zinazo wapata mabiti katika kupata malazi na kuwaepusha na changamoto mbalimbali zikiwemo mimba za utotoni;Lugpoye Women Group Group wameendelea kujikita katika kuongoza nguvu ya ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari kata ya Gera,Hivyo mwaka huu wanatoa mifuko ya Cement ipatayo 50 yenye thamai ya milioni moja .


Pongezi kwa Lugoye Woman Group mara baada ya kutoa na kukabidhi hotuba yao


Mh.William Rutta Diwani wa Kata ya Ishozi akitoa neno

Mh. Msafiri Nyeme Diwani wa kata Ishuju Wilaya Missenyi

Mgeni Rasmi akitoa neno

Furaha kubwa kwa Wanalugoye wakati burudani ya ngoma ikiendelea


Burudani ikiendelea

Ngoma ya buhaya ikiendelea kuchukua kasi ukumbiniMnada ukiendelea....

Mnada wa bidhaa mbalimbali zilizoandaliwa na vikundi vya kina Mama ukiwa unaendelea


Mnada wa bidhaa mbalimbali zilizoandaliwa na vikundi vya kina Mama ukiwa unaendelea
Taswira mbalimbali wakati sherehe ikiendelea

Maskani kwa Ndugu Charles Mberwa kijijini Gera ilipofayika sherehe ya ''Lugoye Day'' 2019
Next Post Previous Post
Bukobawadau