Bukobawadau

SIMANZI KUBWA MAZISHI YA MPENDWA WETU BI JOYCELINE RUHAGO WA KAYANGA - KARAGWE !!Majonzi Simanzi vyatawala mazishi ya mpendwa wetu Bi Joycelini Ruhago yaliyofanyika nyumbani kwake Kayanga Wilayani Karagwe na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali,pichani ni familia ya marehemu mpendwa wetu kutoka kushoto ni George Ruhaga,Dr.Devid Ruhago,Goodie Ruhago na Kaka William Ruhago,feb 6,2020

Taswira wakati Ibada ya mazishi yakiendelea nyumbani kwa marehemu katika mji mdogo wa Kayanga Karagwe


Mchungaji akiendelea kuongoza ibada hiyo iliyofanyika tarehe 6/2/2020 Kayanga Karagwe


Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Marehemu Bi Joyceline Ruhago
Watoto wa mpendwa Mama Joyceline wakifuatilia Ibada

Shangazi akiendelea na Ibada ya mazishi


Umati wa waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mama yetu Mpendwa Bi Joyceline RuhagoWatoto wa kuzaliwa na marehemu Bi Joyceline Ruhago wakati wa kutoa wasifu wa mpendwa mama yao,kuoka kushoto ni William,Dr. David,Goodie, George na Emanuel Ruhago.

Salamu za rambirambi zikiendelea

Dada Yvone na Naina wakifuatilia Ibada ya Shangazi yao

Utaratibu wa Salaam za rambirambi ukiwa bado unaendelea

Dada Angel Byarugaba akifuatilia Ibada ya Mazishi

Shemeji wa marehemu Timoth Rwamushaija akiafuatilia Ibada......Poleni sana wafiwa, tunamuombea mama yetu pumziko la Milele


Wajukuu wa marehemu wakati Ibada ikiendelea

Mr & Mrs David Ruhago poleni sana kwa kumpoteza mzazi

Endelea kufuatilia mpaka mwisho matukio ya picha....Waombolezaji wakielekea eneo la makaburi kwa ajili ya kumpumzisha mpendwa wetu

Dada Hilda na naina wakiongoza msfara wa waombolezaji kuelekea eneo la makaburi lilipo katika Mji mdogo wa Kayanga Karagwe.

Wajukuu wa Marehemu Willieth na Gaston wakielekea makaburiniEneo la maegesho msibani hapoSafari ya Mwisho ya maisha ya Mpendwa wetu Bi Joyceline Ruhago

Dr George Ruhago akiweka udongo kumsindikiza mpendwa Mama yake

Kwa pamoja watoto na wajukuu wa marehemu wakiweka udongo kwenye kaburi la mpendwa wetu Bi Joyceline RuhagoWatoto wa marehemu na wajukuu makaburiniFamilia ya kaka yetu, Mzee wetu Katibu mkuu wa Yanga Dr.David Rugago wakiweka shada la maua

Mama David Ruhago katika hali ya simanzi akiweka shada la maua.

Familia ya Dr George Ruhago wakiweka shada la maua...Kutoka Kushoto Dr Frida, Jayden, Dr George na Gabriella

Familia ya Dr George Ruhago wakiweka shada la maua...Kutoka Kushoto Dr Frida, Jayden, Dr George na Gabriella

Goodie Ruhago na familia yake wakiweka shada la maua..

Wajukuu wa marehemu wakiweka shada la maua kwa pamoja...Gaston na Sonia

Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Godfrey Mheluka akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu Bi Joyceline RuhagoDada Wema akiweka shda la maua


Dada Naina na Erick wakiweka maua kwa niaba ya wanafamilia wote wa Dar es Salaam....


Cesy na Angel Byarugaba wakiweka shada la mauaVedasto Gatera na Familia yake wakiwa na Dada Virginia Mmary wakiweka shada la maua

Familia ya Ngalesoni...Mama Ngalesoni na Fredrick Sanare Ngalesoni wakiweka shada la maua

Cesy na Martha wakiongoza zoezi la kuweka shada la maua
Mkonyi akiwakilisha waumini wa Kanisa la Azania Front, Dar es Salaam kuweka shada la maua

Danny akiongoza watumishi wa CRDB kuweka shada la maua...

Utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la mama yetu mpendwa ukiendelea


Rafiki wa familia na mwakilishi wa Contena/Tips Della akiweka shada ya maua kwenye kaburi la mpendwa wetu.

Marafiki wa familia wakiweka mashada ya maua...familia ya Dr Kagaruki, Dr Muhada na Muvara wakiweka shada la maua

Jirani wa Mama Willy bwana Kahindi akiweka shadala maua

Sehemu ya wajukuu wakiweka shada la maua.....Neema na Proud

Umati wa waombolezaji katika mazishi ya mpendwa wetu

Watoto na wajukuu wa marehemu

Dr David Ruhago akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia mara baada ya mazishi

Goodie na marafiki zake waliofika kumsidikiza katika msiba huu mzito wa Mama yetu mpendwa

Wakikilishi mbalimbali kutoka Dar es Salamm, The Runners, Contena/Tips na CRDB

Wakikilishi mbalimbali kutoka Dar es Salamm, Azania Front Church, The Runners, Contena/Tips na CRDB

Wanafamilia

Kutoka kushoto ni Jesca,Aneth,Fanta,Agnes,Hilda na Charlote wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu mara baada yashughuli ya mzishi.

Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio......


Dr.David Ruhago na mke wake mbele ya Camera yetu mara baada ya kumpumzisha mpendwa mama yetu.

Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Katika picha ya pamoja Dr George Ruhago na familia yake mara baada ya shughuli ya mazishi

Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu

Waombolezaji wakiendelea kushiriki maziko hayo

Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.

Picha ya wanafamilia ya mpendwa wetu Bi Joyceline Ruhago apumzike kwa amani
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu


Kwenye kaburi la Mpendwa baba yao mzazi marehemu Mzee Wilson Gasana Ruhago,R.I.P

George Ruhago,Dr.Devid Ruhago,Goodie Ruhago na Kaka mkubwa wa familia William Ruhago

Tunatoa pole kwa familia ya marehemu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi........pole sana rafiki zetu na kaka zetu Dr David Ruhago, Dr George Ruhago na Goodie Ruhago


Next Post Previous Post
Bukobawadau