Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI IBADA YA MATANGA YA MZEE WETU OMULANGILA RUGAIBULA IBURA - BUKOBA

Familia ya Omulangila Juctice Rugaibula imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalum ya kuanua Matanga na kutoa shukrani kwa Bwana kwa ajili ya mambo yote.,Kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi Omulangila Rugaibula.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mungu aendele Kumpumumzisha kwa amani mzee wetu
Umati mkubwa wa watu ukiendelea kushiriki Ibada ya kuanua matanga ya Omulangira Adeodatus Rugaibula iliyofanyika  nyumbani kwa  mwanae Mulangila Justice Rugaibula
Waumini wa Kikatoliki na wasio wakatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Omulangila Rugaibula ikiwa ni kumbukizi miaka miwili ya kifo chake.
Ibada ya Shukrani kwa baraka zilizopokelewa kutoka kwa Mungu na kuanua Matanga ya mpendwa wao ikiendelea....
  Kuelezea shukrani kunampendeza Mungu, na ibada ya kweli inajumuisha kumshukuru Yeye pichani wanaonekana Wanafamilia na Mama yao Mzazi Ma'Grace wakiendelea kushiriki Ibada ya kuanua matanga na Shukrani kwa Mwenyezi Mungu.....
Sehemu ya watawa wa kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya kuanua matanga ya Omulangila Adeodatus Rugaibula..
 Neno la Bwana..
Padre akiondelea kutoa mahubiri katika Ibda hiyo.
 Kwa unyenyekevu na usikivu maalumu wa kiroho wanaokana Mkubwa Justice Rugaibula na Mkewe Jojo wakati Ibada ya kuanua matanga ya mpendwa wao Mzee Rugaibula ikiendelea...
Dada Stella Rugaibula  na Mlangila Honno Rugaibula kwa Unyenyekevu wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Taswira wakati Ibada inaendelea nyumbani kwa Mulangila Justice Rugaibula...
Kutoka Ibura Bukoba hii ni Moja ya picha iliyoua na kutikisa mtandaoni.
Delius Rugaibula pichani akipata komunio katika Ibada hiyo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Ndugu Optaty Henry Katibu akipata komunio wakatio wa Ibada ya kuanua Matanga ya Omulangila Rugaibula iliyofanyika Jumapili June 28,2020 .
Muendelezo wa matukio ya picha


 Omulangila Rugaibula pichani enzi za uhai wake.



Mtaalam Rutta Buruno pichani kulia..
Dada Eliza pichani..




Mama Grace pichani kulia na familia yake wakiendelea na Ibada kwa Utulivu, heshima, Unyenyekevu na usikivu mkubwa.
Takribani watu elfu 2 wameweza kushiriki tukio hili la kuanua matanga ya Mpendwa Mlangila Rugaibula yaliyofanyika Ibura Bukoba.
Muendelezo wa matukio ya picha
Matukio mengine zaidi ya picha yanapatikana kupitia accaunt zetu za facebook na Instagram

Familia inatoa shukranikwa  Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Neema kubwa ambayo amewapa kwa Roho Mtakatifu wake.

Dr.Kataruga,Rahym Kabyemela na Mlangila Ben Kataruka katika picha ya pamoja
Sheikh Kharid Mustaph akitoa neno mara baada ya kushiriki Shughuli hii..
Waalikwa wakicheck na Camera yetu ikikuangazia kutoka Ibura Nyumbani kwa Justice Rugaibula.

 Picha za awali katika Red Carpet ,Matanga ya Mzee wetu Omulangila Adeodatus Rugaibula
 Bi Eunice Luangisa.
Sehemu ya marafiki wa karibu wa familia ya Omulangila Justice Rugaibula...
 Taswira kwa juu wakati Ibada ikiendelea....
 Msemaji wa familia Katibu Optaty Henry akitoa neno la shukrani
 Mama anamaliza Eda ya kufiwa na mme,sasa kinachofuata hapa ni matukio ya pongezi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia pamoja na wanae.
 Mkubwa Justice Rugaibula akimpa mkono make yake Mzazi.
 Adelius Rugaibula kwa furaha akimpongeza mama yake.
 Dada Stella Rugaibula akifutana na vikundi mbalimbali vya kina mama.
Ndugu Jamaa na marafiki wakielekea kutoa pongezi kwa Mama yetu Ma'Grace.
 Event Organizer,Ndugu Afidhu Nkurukumbi akimpongeza Mama Grace kwa kumaliza Eda ya kufiwa na mmewe Omulangira Rugaibula.
 Mkubwa John Kataraia/Mkwe wa familia hii akimpongeza Ma'Grace....
 Muendelezo wa matukio ya picha,Pongezi zikiendelea
 Ndugu wakifuatilia kinachojiri...
 Katikati ni Mh.Chief Kalumuna...
Anaitwa 'Obugwaizoba'
 Kivutio kikubwa ni burudani kutoka kwa kikundi cha jamii ya wawindaji 'Abaigi' kwa mashairi babu kubwa yenye vina.
 Hakika Rap asili yake ni Afrika ,hapo  kinachoendelea ni Rap ya kihaya 'Okwebuga', Majigambo katika tenzi kama utavyoweza kujionea kupitia Video kwenye accaunt yetu ya Youtube
 Burudani ikiwa inaendelea..
 Naam ni muda sasa wa kupata chakula safi na chenye ubora kwa waalikwa wote....
Taswira wakati huduma ya Chakula ikiendelea...
 Tunapata huduma safi ya chakula kitamu na chenye hadhi.
 Waalikwa wakiendelea kupata kile kilinyoandaliwa..
 Hakika wameweza kushiriki kwa kila aina ya kile kilichoandaliwa.
 Ni mwendo wa kula kunywa na kufurahi kwa burudani..
 ''Upendo''Ishara ya familia yenye furaha.
 Mlangira Justice na Mlangira Honno na familia nzima wanapenda kutoa shukranikwa  Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Neema kubwa ambayo amewapa kwa Roho Mtakatifu wake katika neno lake ikiwa
Mlangira Ben Kataruga na Mr Rahym Kabyemela katika hili na lile....

Inaendelea kwa matukio ya Day 1 'Mkesha' na Video mbalimbali....!
Next Post Previous Post
Bukobawadau